Ibrahim daud
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 609
- 525
👉
Hiyo ni mimba au??ni kitambo??Unene unavyopoteza muonekano wa mtu.
Acha nile zangu nipate tumbo kubwa
Raia wa wapi huyu serikali yake iingilie kati😂😆🤣
Wanapenda hao balaa!
Hii nchi uhuru umepitiliza.
Hivyo unataka kusema bila chips yai huyo angekuwa mwembamba? 😅Tatizo siyo miili bali ni kufukia tumboni chips yai😁😁😁