Picha ya siku

A Village Settlement in Denmark.View attachment 1888106
Kuna kijiji cha ujamaa tuliwahi kukitembekea huko huko Denmark, ila chenyewe nyumba zake hazikuwa kwenye mapa ngilio huu. Watu wasio na ndoa walikuwa wanakaa kwenye nyumba moja kama Bweni na huwa wanafanya kazi kwa pamoja, very interesting! Tulikuta pia mifugo kama vile kondoo.
Kwa mtizamo wangu mimi, Ulaya kijijini panavutia zaidi kuliko mjini. Mimi ningekuwa mkazi wa Ulaya, ninge-opt kuishi kijijini kuliko mjini. Mandhari ya kijijini ni nzuri mno, mjini kila mahali maghorofa tu na sky-scrappers. Macho yangu mimi kawaida huwa yanapendelea nione angalau umbali wa km 10 kutoka pale nilipo. Yakizibwa na majengo marefu, huwa yanakosa burudani ninayoitamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…