Kwenye picha hapo karibu nusu ya hao manjagu ni kutoka Lake zone,Lake zone ndo sehemu ya kwanza kabisa kukamatwa Mbowe tangia mama aliposhika madaraka[emoji23]
Hii picha inatafsiri nyingi asee.
Kufikiri kwetu kumekuwa kwa pupa sana, kuna kitu kimepandikizwa kwa watanzania cha kutokujikubali na kuamua juu ya mstakabali wetu wenyewe mpaka tuamuliwe na wenye madaraka tu utazania wao ni malaika, wakati wanatupenda wakati wa uchaguzi tu ukiisha wanatutupilia mbali huko.
Kwenye picha hapo karibu nusu ya hao manjagu ni kutoka Lake zone,Lake zone ndo sehemu ya kwanza kabisa kukamatwa Mbowe tangia mama aliposhika madaraka[emoji23]
Hii picha inatafsiri nyingi asee.