Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,378
sijui ni PC yangu....lakini hiyo picha haiko clear...........
Mkuu nami nimeigundua hiyo, kweli ujinga sio ugonjwa uambukizwe bali unazaliwa nao.Wanasukuma gari wakati dereva kakanyaga breki, Kweli miafrika ndivyo ilivyo
Preta haiko clear
ila kule Jukwa la Stress (Siasa) iko clear sana

Kwangu mimi hii ndio picha ya wiki,ina maneno mengi ya kuiwekea hii picha.Mnamuona wa nne toka kushoto? ipeni maneno

‎"Think kiasi gani tumepoteza kama taifa, Kwa nini jasho letu linatumika vibaya hivi!

TICTS, RADAR,NDEGE YA RAIS, SAFARI ZA NJE YA NCHI-UTADHANI YEYE NI WAZIRI WA MAMBO YA NJE, TWIN TOWERS BOT, MIKATABA ISIYO NA TIJA KWA NCHI(Madini), KAGODA(EPA), MEREMETA, RICHMOND/DOWANS, WAKUU WA MIKOA na WILAYA(Hao ni Watumishi wa CCM), IPTL, NA MINGINE MINGI...

TUAMBIANE KUWA... SIKU TULIZOSUBIRI, KUVUMILIA, KU...TESEKA NA HATA KUDHARAULIWA KWA AIBU ZIMEKWISHA: NAPENDEKEZA

JUMATATU HII 29 AUGUSTI 2011 ITAKUWA SIKU TAKATIFU KWETU SOTE KUONESHA UZALENDO WETU KUITETEA NA KUITUKUZA NCHI YETU KWA KUONESHA KWA VITENDO KUCHUKIZWA KWETU NA MAOVU YOTE TULIYOSHUHUDIA KWA ZAIDI YA MIAKA 30 SASA! NJOONI KILA MMOJA KWA BARABARA YAKE KWA AMANI NA UMOJA WETU TUELEKEE MNAZI MMOJA. WALIOKO MIKOANI WAELEKEE OFISI ZA SERIKALI MIKOANI, NA WILAYANI KWAO.Amini katika Mungu! Amkeni, Toeni sauti, Nchi inakwisha.
Kwangu mimi hii ndio picha ya wiki,ina maneno mengi ya kuiwekea hii picha.Mnamuona wa nne toka kushoto? ipeni maneno
Nimeipenda sana hii!!!Mkuu nami nimeigundua hiyo, kweli ujinga sio ugonjwa uambukizwe bali unazaliwa nao.

Kale kataa ka juu kwenye mlango wa nyuma kakiwaka si huwa gari imefunga brake au inafunga brake? Sasa hawa jamaa si wanaumia kusukuma gari inayosimama? Au ndio wameifikisha lakini wanaonekana bado kutafuna energy yao!!!!!!!!!

You can take an african out of the bush but not the bush out of herMkuu nami nimeigundua hiyo, kweli ujinga sio ugonjwa uambukizwe bali unazaliwa nao.
Kwangu mimi hii ndio picha ya wiki,ina maneno mengi ya kuiwekea hii picha.Mnamuona wa nne toka kushoto? ipeni maneno