Picha ya Siku

Mbwana samatta ameonyesha heshima ya hali ya juu mbele ya JMK na hasa upande wa mavazi.
 
Jakaya we miss u a lot
Hapana, nchi hii iko hivi yeye ndiye chanzo cha kuwa weak president! Weakest of them all! And I tell you, hayo ya Libya kama wadau ndio hawa, Africans, nothing will come out as a solution!
 
Mbwana Samatha ametulia hasa unaweza fikiri sio mbogo.
 
samata yuko vizuri na amejitahidi kujifunza mambo mengi mazuri. lamsingi aanze kujifunza mambo madogo madogo. kwa ugeni kama huo nyumbani kwake au sehemu yoyote samata ajifunze uvaaji wa soksi ndefu kama JK hapo. ni kitu kidogo lakin kina maana katika jamii, ukunjaji wa mashati namna hyo aachane nayo au akishindwa akunje Obama style inakubalika.
 
...ni mkulima wa mahindi/mananasi, mfanyabiashara, mwajiliwa wa UN, bosi wa UDSM au!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…