Picha ya Siku!

Mzee23

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
1,727
3,614
RADI yaua mifugo 35(ng'ombe,mbuzi,kondoo) Shinyanga!
 
Attachments

  • 1456661577370.jpg
    1456661577370.jpg
    23.5 KB · Views: 56
Haiwezekani,,,, inabidi iundwe tume haraka iwezekanavyo kuchunguza chanzo cha radi hiyo
 
Haiwezekani,,,, inabidi iundwe tume haraka iwezekanavyo kuchunguza chanzo cha radi hiyo
Hahaah!..mkuu hebu pendekeza na wajumbe wa tume...watakuwa watu wa kada gani!:D
 
Hahaah!..mkuu hebu pendekeza na wajumbe wa tume...watakuwa watu wa kada gani!:D
Madaktari wa mifugo at least wawili na microbiologist at least mmoja. Au wewe ulijua wanahitajika watu wa aina gani ?
 
Hao wanakijiji hovyo kabisa, sasa badala ya kujisevia nyama wao wamekaa kutumbua macho tu
 
Madaktari wa mifugo at least wawili na microbiologist at least mmoja. Au wewe ulijua wanahitajika watu wa aina gani ?
Radi kuundiwa tume mkuu hata kama utaleta madaktari wa mifugo sidhani kama Ina-sound akilini:rolleyes:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom