Picha ya Siku: Ulinzi wa Raisi Magufuli unatisha.

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,048
3,228
Ulinzi huu unaweza kua namba moja kwa Africa.
IMG-20180906-WA0014.jpg
 
Kama wale wazee wa uwekezaji hawakuuawa,wakaja wazee wa EPA na Escrow account
hawakuuawa nani atamdhuru mzee wa SGR? mi nadhani hata asipolindwa
watanzania hatuna kawaida ya kuwadhuru viongozi,labda wasiojulikana.
Tunamwomba Mungu atuepushe na umwagaji wa damu isiyo na hatia
 
Back
Top Bottom