Picha ya siku... Nini kinaendelea hapa?

Itakua anaipekua hiyo simu baada ya kupata taarifa za kiintelijensia kua inatumika kwenye matukio ya uhalifu!
 
Nilichogundua ni askari ana bunduki begani na huyo dada ana bastora kifuani za kuua mapenzi, kwa hiyo bastora ya dada una nguvu kuliko ya askari ndo maana amesarenda hyo askari.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…