Picha ya siku, Ikulu yetu

Picha ya siku, Ikulu yetu

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
1794554_221051594746531_1647883920_n.jpg
 
Kurwa na Doto Hapa ni Mnazi mmoja au magogoni?
 
Hapo ndio nchi yetu inapoliwa...
 
hivi ni lazima ipakwe rangi nyeupe?( au na yenyewe inaitwa white house?) mi ningeshauri ipakwe nyeusi au nyekundu ingependeza kweli
 
...mkuu bonge la msg lakini umeliambatanisha na uso wa paka...?? Dah haviendani kabsaaaa....!!
Ni mali ya Bwana kama sisi.

Wote wenye pumzi na wamsifu Mungu.
Dunia na vyote vijazavyo ni mali ya Mungu.
 
Back
Top Bottom