Hii kali, mchoraji yupo vzr kwenye kaz yake
Uchokozi mwingine bana
Hizo picha nimezipitisha kwenye app ya photo layout ili zikae tatu kwa wakati mmoja mkuu, kwa hiyo hizo background colour siyo halisi ila picha ndo halisi!!hata dalili ya wingu?
vipi mpiga picha alikuwa kona gani?
couldbe fotoshopu or anything else
kutolewa kwenye gazeti sio issue...