Picha ya Rais Zuma wa Afrika Kusini akimbusu msichana huyu yawa gumzo

MUGASHA THE HERO

JF-Expert Member
Mar 22, 2016
327
204

Picha ya msichana akimbusu Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma imezua utata nchini humo.

Picha hizo zilisambaa Jumatano hii baada ya msichana huyo kuziweka kwenye mitandao ya kijamii. “We will check the matter,” alisema msemaji wa serikali Bongani Ngqulunga alipoulizwa kuhusu picha hizo.

Msichana huyo mwenye miaka 19 anaitwa Lindokuhle Dlamini. Kwenye picha hizo aliandika: He is not just a blesser, we are inlove and I am grateful for all that he has done for me, much love. Xo xo.”

Blesser inamaanisha ni mtu mzima anayehonga wasichana na kuwa na uhusiano nao. Akaunti yake ya Facebook imefutwa.

Hata hivyo mtoto wa kiume wa rais huyo, Edward amedai kuwa msichana huyo ni dada yake na kwamba akaunti iliyopost picha hizo ni feki. Baadhi ya magazeti likiwemo Citizen‚ yamesema yaliambiwa na wasomaji wake kuwa ni kweli binti huyo ni mtoto wa Zuma.

Hata hivyo Makamu wa Rais wa Economic Freedom Fighters Floyd Shivambu alikosoa kwa kutweet: Okay cool? What kind of Grand Fathers and Fathers kiss their Grand Daughters & Daughters like this? Perverts??”

Serikali bado haijatoa majibu kama ilivyoahidi.
 
JB ni mpigaji mzuri sana!! Nakumbuka alivyokuwa anamfuata balozi wao wa kike nchini kwa ndege ya serikali!! Alikuwa anakuja kupiga tu then anarudi kwao....!! Africa ina matatizo sana ya viongozi wenye maadili!
 
Zuma anaamini ukipiga Demu mwenye Ukimwi ukawahi kwenda kukojoa Chooni kabla dude halijasinzia hupati Ukimwi Yeye alishawahi kuchapa wa namna hiyo kwa kuwa kumuacha Binti mwny ashki unachukiza Mizimu tusishangae akawa anapima Kina cha Maji kwa Mtotoe!
 
Huo ndob
JB ni mpigaji mzuri sana!! Nakumbuka alivyokuwa anamfuata balozi wao wa kike nchini kwa ndege ya serikali!! Alikuwa anakuja kupiga tu then anarudi kwao....!! Africa ina matatizo sana ya viongozi wenye maadili!
huo ndo uafrica, hapa kazi tu
 
Picha ya Rais Zuma wa Afrika Kusini akimbusu msichana huyu yawa gumzo

3257670db8714051a5df1d349fd387d9.jpg
 
Back
Top Bottom