Picha ya overview Ukawa Mwanza na CCM Jangwani Dar

Picha ya overview Ukawa Mwanza na CCM Jangwani Dar

Joined
Aug 12, 2015
Posts
56
Reaction score
23
Wadau picha inayoonesha mwonekano Wa juu(overview) ya Ukawa wakati Wa kumtambulisha mgombea wao Mwanza jiji la pili na picha ya CCM ufunguzi Wa kampeni jagwani yap ni maoni yako.

1440345703863.jpg
 
Unafananisha ukubwa TEMBO na SWALA?!
Picha ya Lowassa watu wameshona,wamebanana hata kuvuta pumzi ni shida, wakati picha ya jangwani watu wamekaa kitako na unaweza kupata nafasi hata ya Kulala.
 
hizi picha kama siyo za ufunguz wa kombe la dunia brazil teh teh maana hawa jamaa wamezid uongo siwaamin hata kwa hii picha isiyoonekana vizuri
 
Wadau picha inayoonesha mwonekano Wa juu(overview) ya Ukawa wakati Wa kumtambulisha mgombea wao Mwanza jiji la pili na picha ya CCM ufunguzi Wa kampeni jagwani yap ni maoni yako.

View attachment 279615

Huwezi linganisha picha za miji tofauti kwani inaidadi tofauti ya wakazi.
Ungelinganisha picha ya magufuli mwanza na lowasa mwanza au mkutano wa lowasa dar na magufuli dar
 
Ukawa Mwanza ilikuwa habari nyingine, leo pale Jangwani watu wameenda kutizama show mbalimbali zilizopigwa halafu hata hotuba wakati zinatolewa kulikuwa hakuna utulivu, watu wanazunguka ovyoovyo etc lakini Mwanza watu walienda pale kupata kitu.
 
ukawa picha zenu za kutengeneza.Wapumbavu wadanganyika by mkapa
 
angali ocupation intensinty, au tuseme density per sqm - UKAWA NOOOMA!!!!!!
 
Back
Top Bottom