myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,145
alikuwa anacheza 'tango' kwenye ziara yake ya amerika ya kusiniUyu jamaaa ana element ya yule wa nne aliyepita.
alikuwa anacheza 'tango' kwenye ziara yake ya amerika ya kusiniUyu jamaaa ana element ya yule wa nne aliyepita.
upo sahihi kabisa.Naona wengi akili ipo kwa bidada anaecheza nae
Tena hakumwambia anyanyue mguuWabongo kila kitu mnacomplicate ndio maana tunazeeka na kufa haraka. Have fun Barack!
kweli kuna wanawake wana sura,bila shaka homoni zake nyingi zitakuwa za kiumeni mwanamke mkuu
hiyo inaitwa Tango musicUnamaanisha huyu wa hapa karibu na Chalinze?
No Man hyo huenda Ni Mutu ya Martial arts na Push kibao Ni Mwanamke ILA body imekaza kama msela vile.huyo anayecheza na obama ni gay au mwanamke