Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,849
- 67,285
Akiwa anacheza tango nchini Argentina
Unamaanisha huyu wa hapa karibu na Chalinze?Uyu jamaaa ana element ya yule wa nne aliyepita.
Nimecheki video hiyo hata mke wake alikuwa anacheza na jamaa pembeni. Hizo ni mila zao wala sioni tatizo. Tatizo ni pale Waafrica tunapoiga hadi ushoga.
Ni mwanamke ila amekomaa balaa!huyo anayecheza na obama ni gay au mwanamke
Nimecheki video hiyo hata mke wake alikuwa anacheza na jamaa pembeni. Hizo ni mila zao wala sioni tatizo. Tatizo ni pale Waafrica tunapoiga hadi ushoga.
Ndio utata au gumzo lenyewe hiloHata mi nimechek hiyo video yake haina lolote la ajari, zaidi Obam alikua hajui kucheza
Hakika kabisa Obama alikuwa anavuta miguu bila mpangilio utafikiri wacheza bugobogobo wa kisukuma.Hata mi nimechek hiyo video yake haina lolote la ajari, zaidi Obam alikua hajui kucheza
ni mwanamke mkuuhuyo anayecheza na obama ni gay au mwanamke
hapana mkuu, ni mke wa Juma Said NyossoHuyo mwanamke siyo mke wake John cena kweli...
Duuuuh,..hapana mkuu, ni mke wa Juma Said Nyosso
Naona wengi akili ipo kwa bidada anaecheza naeNdio utata au gumzo lenyewe hilo