Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,387
- 100,498
You mean ataenda kwa ndugu zake ChinaBye bye Nyati, tulikupenda ila Leprofesele Yuan Hun amekupenda zaidi, Unajuuuuta kutufahamu...
You mean ataenda kwa ndugu zake ChinaBye bye Nyati, tulikupenda ila Leprofesele Yuan Hun amekupenda zaidi, Unajuuuuta kutufahamu...
mmh!! nyati gani huyo anayerembua?
Very soon nyati huyo atakunjwa kwenye diplomatic bag na kuuzwa china.
Mnyama anayeonekana kwenye picha kwa vyovyote si jamii ya nyati(mbogo).Tazama pembe zake zilivyo nyembamba, tazama muundo wa pua yake. Huyu mnyama ni jamii ya mbuzi na kapigwa picha kwenye maeneo ya nchi zenye baridi kali.(tazama vilima vilivyojaa theluji)
Picha haina uhusiano na ngorongoro hata kidogo.Kama vile MziziMkavu kachanganya picha kwenye album yake ya picha!
Stori ni ya kweli ila picha nooooo!

Nyati zeru zeru huyo.
Anafaa kwa dawa ya kupatia fweza.
Naona jamaa kazuga hapo huyo ni bison wala hafugiki kwetu hahahaha