Miunda
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 530
- 180
Kuwepo kwa skool binafsi haimaanishi kuwa elimu ya shule za serikali ni duni, UK is the best centre in this world kwa elimu, cha kujiuliza kuna private school kama njugu, na raia wa kawaida wanawapeleka shule hizo.Familia kwanza mimi binafsi siwezi mpeleleka my son or daughter kwenye elimu isiyo na uhakika
Serikali haina sheria inayomkataza mtumishi wake kumpeleka International skuls binti au kijana wake.
kama ni pesa halali haina shida.
Pesa zipo acha watoto wapate elimu bora na si bora elimu.
Ndio mfumo wa maisha, all is about business.