Picha Ya Mh. Lowassa: "I am Fit For Fight"

Picha Ya Mh. Lowassa: "I am Fit For Fight"

Superman

R I P
Joined
Mar 31, 2007
Posts
5,693
Reaction score
1,707
Wale Wataalamu wa kusoma picha na kuzichambua, mnasemaje kuhusu picha hii kufuatia usemi wa Mh. Edward Lowassa, Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu Mstaafu kuwa "Yuko Fit Kwa Mapambano"? Source: Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo

1.jpg

TBC1 iliripoti taarifa za ujio wa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa akitokea Ujerumani. Lowassa alitoa ufafanuzi wa safari yake ya Ujerumani na utata uliotawala juu ya afya yake. Ameweka wazi kuwa afya yake ni safi; hana kisukari wala stroke. Kwamba yuko fit kwa mapambano.

Angalia Mkono wa kushoto . . . .

Hata hivyo Mh. uso wake unaonyesha ushujaa wa ajabu ingawa Mrs anaonekana amezama kwenye lindi kubwa la mawazo . . .
 
The guy looks like he can throw a punch or two...not bad.
 
The guy looks like he can throw a punch or two...not bad.

Mkuu angalia mkono wa kushoto ulivyokunjwa . . . . kama una uzoefu wa watu wenye stroke hata kama ni mild, utanielewa nina maana gani . . .
 
Mkuu angalia mkono wa kushoto ulivyokunjwa . . . . kama una uzoefu wa watu wenye stroke hata kama ni mild, utanielewa nina maana gani . . .

Nakusoma mkuu ila inawezekana ni pozi tu....Wakati anamaliza hii press conference hawakuonyesha alivyokuwa anaondoka ningetambua tu field hii nilikatisha kidogo.
 
Mkuu angalia mkono wa kushoto ulivyokunjwa . . . . kama una uzoefu wa watu wenye stroke hata kama ni mild, utanielewa nina maana gani . . .
Pia angalia jicho lake LA KUSHOTO HALIKO NORMAL likakuwa kama linajifunga vile; pia upande wa kushoto wa uso wake unaelekea kama una matatizo!!
 
Mkuu angalia mkono wa kushoto ulivyokunjwa . . . . kama una uzoefu wa watu wenye stroke hata kama ni mild, utanielewa nina maana gani . . .

ukiangalia vilevile upper lips na jicho
 
Huyu atakufa mwezi wa 11 mwaka 2015 baada ya kuchanganyikiwa kwa kukosa URAIS.....

Kwa nn unautaka urais kwa nguvu??
Kiongoz nzuri ni yule asiyetaka kuongoza, wananchi wanamuomba awaongoze na sie UCHU!!!

Mali zote ulizotuibia, wataka ikulu????
 
Nadhani swala la stroke sio issue, muhimu ni kama kweli kweli anataka urais 2015!!! wana JF tunatakiwa kuwaelinisha watanzania wenzetu wasidhubutu kumuunga mkono maana tutatafunwa hadi mifupa, tukisema wanadai ni ubaguzi lakini je ni haki bunge letu kujaa wageni wenye uraia wa kununua? na je, katikati ya jiji la Dar hadi ilala, masaki, Oysterbay hadi mbezi beach ni wazawa wangapi wanamiliki majengo marefu? wamiliki wanafanya biashara ipi wakati viwanda hakuna? je kununua vitu china na kuuza hapa unaweza kupata utajiri wa kiwango hiki?. kwa misingi hiyo nina wasiwasi na kuwepo kwa katiba mpya kabla ya 2015 maana mfumo uliopo unalea ufisadi na waliojipa madaraka ya kutengeneza katiba ni sehemu ya ufisadi. mfumo wa uchumi wetu kwa sasa ni ubepari, katiba ya kibepari hairuhusu kubadilisha maneno mfano rushwa ya rada kuita chenji ya rada, kujiuzuru kwa kashfa kuita kustaafu, kushitaki Yona, mramba na mgonja ukawaacha Rostam, Chenge, Manji, Mkapa na mkewe, Lowasa, Jailo na Luhanjo.
 
Mzee wetu anatia huruma, si apumzike tu jamani!! Yanini kutaabika kote wakati afya hairuhusu. Mimi naona anatumia falsafa ua CUF ya "Mwanaume Ngangari" lakini anaonyesha afya haiko sawa.
 
Nakusoma mkuu ila inawezekana ni pozi tu....Wakati anamaliza hii press conference hawakuonyesha alivyokuwa anaondoka ningetambua tu field hii nilikatisha kidogo.

mkuu, alionekana kwenye TBC baada ya press conference, kwa mtu makini anagundua upande wa kushoto, hasa mkono, hauko active...nilimwona alipokuwa anatembea, for a second or two, ni kama wa sanamu tu. Na hapo kama walijaribu ku lobby press (ambayo ofcourse, ilishindwa vibaya, maana kwa wanaojua, magazeti karibu yote front page main story headline ni ile ile...Lowasa yuko fit and blah bla...) conclude. Hawa nao sijui wataacha lini kununuliwa.
 
Next tm 2mia neno eye lid sivyo andika kwa kiswahili sawasawa!!!

Mkuu sidhani kama amekosea. Alikuwa ana maana ya midomo ya juu (upper lips) na siyo eye lid kama ulivyoshauri. Mimi nimemwelewa.
 
mkuu, alionekana kwenye TBC baada ya press conference, kwa mtu makini anagundua upande wa kushoto, hasa mkono, hauko active...nilimwona alipokuwa anatembea, for a second or two, ni kama wa sanamu tu. Na hapo kama walijaribu ku lobby press (ambayo ofcourse, ilishindwa vibaya, maana kwa wanaojua, magazeti karibu yote front page main story headline ni ile ile...Lowasa yuko fit and blah bla...) conclude. Hawa nao sijui wataacha lini kununuliwa.

Mficha ugonjwa mauti yatamuumbua God forbid!! Lakini kama anadanganya basi njia ya muongo fupi hasa katika haya mambo ya magonjwa..Ila aache ile mipombe mikali huyu mzee inamsababishia matatizo sana.
 
Mficha ugonjwa mauti yatamuumbua God forbid!! Lakini kama anadanganya basi njia ya muongo fupi hasa katika haya mambo ya magonjwa..Ila aache ile mipombe mikali huyu mzee inamsababishia matatizo sana.

Waliokaribu naye wamshauri asiingie katika frontline politics na Wapinzania. Siasa zake ziishie huko huko ndani ay CCM. Akithubutu tu kukanyaga Arumeru, nina uhakika kishaandaliwa mabomu ya kutosha kummaliza na kuongeza stress zinazoweza kumpa stroke zaidi. I hope atazingatia ushauri wa madaktari wake.

Hata hivyo aendelee na kazi za kijamii, makanisani na misikitini maana ni mchango wake kwa jamii.

Kama haamini amuulize BWM nini kimempata.
 
nilimsikia lowassa alisema sina sukari sio sina kisukari, kitaalam ana HYPOGLAICEMIA:A S-frusty2:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom