egentle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 808
- 392
Cat ukimsom usoni anaonyesha alikuw kwenye hofu kubwa.
Ukiona hivyo ujue familia haitambui uwepo wako na umuhimu wako katika ile sherehe....
Sikweli!!!!
Binafsi natambua umuhimu wa Tee Bag kwenye familia yetu...
Mungu wangu Honey Faith unaweza kuua MTU kwa pressure, haya c maneno ya kumwambia mtu
Mie huwa sina kificho kificho.Huwa nipo straight forward
hufai kua daktari , mtu akiumwa ukimwi unamwambia tu wewe una ukimwi, mmmh hata maneno ya kumliwaza basi
Tena mie daktari mzuri wa wakinamama.Mkeo akiumwa tafadhali usisite kuniomba ushauri......lol
Yeye ndio alikua anatoa hizo kadi, mulize alikosaje? Au alijisahau?
bado natafuta mke, ila kuna ka miss nakamendea humu, nikimpata atakuja umpe ushauri
Hebu ninong'oneze ka miss nani hako???
wee otea tuu
Miss neddy?
kwa nini usingeishia ahsante
umeona umempa utafiti neno la kuongea hujui sisis ni wapinzani wa jadi ??
Mstari wa kwanza ama wa pili?
miss neddy mimi nilikwambia
Kuna watu wanaotea humuu mmmh cjawahi ona