Tee Bag
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 7,220
- 5,627
in english please
Mstari wa kwanza ama wa pili?
in english please
Mmmmh wiki endi hiii kwema lakini
tena ni kahaba alie kubuhu
Invicible mpe huyu jamaa ban ....... analeta kujuana sana wakati tunasikilizia ka mgao ka mcc! teh teh
Shabaaash.....hii dunia sio fair kabisaaaaaa......yaani mtoto mahabuba mashallah masharat kama wewe huna nyumba? Shame you this world! Njoo chukua nyumba mtoto mzuri weye!Sina nyumba
usijali nitakukumbatia
Nimetamani hilo kumbatoo!!!
ukawa ukawa tu kama safari na jk vile!Hebu andaa pen kesho ukafanye maamuzi sahihi
Shabaaash.....hii dunia sio fair kabisaaaaaa......yaani mtoto mahabuba mashallah masharat kama wewe huna nyumba? Shame you this world! Njoo chukua nyumba mtoto mzuri weye!
Poa poa relax bibie!Haya nakuja iandae nikifika tu naipakia kwenye bajaj then narudi nayo nyumbani
Wee... wee! Kumbatoo!
Ajiriwa na fire, utawakumbatia tani yako!
Asante sana....
Mie naogopaga moto atiii?nataka la mtu mwingine tuuu!!!
Yajibu lako kwa MO11
Kwema kabisa sijui kwa upande wako
Kwema kabisa ila niliboreka sikupata kadi ya mwaliko ya birthday