englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Mimi nilikuja mjini wakati Meridian Bank iko hapo, ila sijui mpaka leo Askari Monument ni mlinzi wa kitu gani hapa Dar!
Mama yangu mzazi wakati anatoka kujifungua mtoto ambaye ni mimi hapo Ocean Road alipopewa ruhusa tulizunguka hiyo round about kuelekea Home Clock Tower.Mimi nilikuwepo mjini wakati GREENLAND BANK ikiwa hapo!!! Idris Rashid alikuwa gavana wa benki kuu na marehemu Suleiman Kiggundu alikuwa ndio mwenyekiti wa hiyo benki iliyokuwa na makao yake makuu Kampala!!