Picha ya leo

Picha ya leo

Hivi kuna kujaribu kifo?

kwanza wazungu akili yao bure ndomaana wanaenda wewe unadhani matumbi anaenda huko kwani yeye ataanza kuchungulia ndo mnamsahau kabisa!

Dawa ya kupita hapo ni kukimbia sio mwendo mdogomdogo
 
Picha tu imenisisimua.hata nipewe trilion sipiti hapo
 
Back
Top Bottom