Picha ya leo

Picha ya leo

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,675
Utaweza?
 

Attachments

  • 1390960327319.jpg
    1390960327319.jpg
    79.8 KB · Views: 951
Sipati picha,kijinjia hicho alafu unakutana na mtu ambaye unabif nae.... wallah kila mtu atageuza njia kurudi alikotoka maana varangati lake hapo hakuna kupona ni mpaka chini hiyo
 
Sipati picha,kijinjia hicho alafu unakutana na mtu ambaye unabif nae.... wallah kila mtu atageuza njia kurudi alikotoka maana varangati lake hapo hakuna kupona ni mpaka chini hiyo

Chakujiuliza hao walotengeneza walianzaje?
 
Bora nizunguke njia nyingine hata kama ni umbali mrefu kiasi gani.
 
Mkuu utafiti nitahakikisha siendi hicho kijiji kingine milele hata kama kuna shida gani aise
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom