Mikataba waliosaini ya gesi na wachina ina vipengele vya kuwaletea khanga ,fulana na kofia za uchaguzi 2015; ndio maana piga ua gesi lazima itoke Mtwara!!!

Nimegundua kwamba wengi wetu tumekosa mwelekeo. Gesi inatoka Urusi hadi China inapita nchi kibao kwenda Ulaya hatuongei, tunaongelea kanga na Magwanda.

Inawanufaisha hao warusi na ndio maana hawaichomi moto!!!Kule ambako wananchi hawanufaiki na rasilimali yao kama kule Ogon Nigeria kwa Ken Serowiwa, mabomba ya mafuta yanatiwa kiberiti. Nyie mburula kwanini hamjifunzi kutokana na mabomba ya maji yanayotoka Ruvu kuja Dar yanavyotobolewa huko njiani kwani wananchi wanakosa maji na serikali inaona wao sio watu bali wale wa Dar Es Salaam ndio binadamu zaidi!! Sasa kwa hii gesi serikali inaona hao wakwere 50,000 walioko Bagamoyo ni bora kuliko umati wa wamamchinga wa huko Mtwara!!!