Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,255
Kuna jambo hapa si bure
Kweli kabisa mkuuKuna maisha katika kila hali
kumbukumbu mujarabu
Ndoa ya kikistu ...Hahahaha hyo imeng'ang'ania nganganga! miaka nenda miaka rudi
Mmmm ... sidhani kwa hali ya maisha ilivyo ngumu kwa tetesi hizo pangebakia story!hapo bila shaka patakuwa na hazina ya mjerumani
ni kweli mkuu hiyo ni daima dawamuNdoa ya kikistu ...
Kama lipi mkuu?Kuna jambo hapa si bure
Asante kwa msamiati mpya mkuu!ni kweli mkuu hiyo ni daima dawamu
[emoji28] [emoji15] [emoji12]Kama lipi mkuu?
Duuu .... fafanua kwa lugha rahisi kidogo mkuu!kiyu kimeshika
forever and ever ndio dumu dawamuAsante kwa msamiati mpya mkuu!
kitu kimefungaDuuu .... fafanua kwa lugha rahisi kidogo mkuu!