Picha ya leo

Picha ya leo

Mr muhuni

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2014
Posts
1,304
Reaction score
1,268
nimefrah sana nhivi ni kweli au hebu nisaidieni wakuu

umegundua nini kwenye hii picha

IMG_20170103_203125.png
 
Kwanini ukumuuliza huyo uliemtwanga picha hapo?!
 
huyo jamaa ni wa mbeya kanunua isuzu direct injection..
 
Mnyakyusa huyo. Imbombo ngafu
 
Kina 50 cent wanapigia picha kwenye ma cadillac,ma range rover,sijui ferrari, ma bugatti, kwa nini mshikaji asipigie kwenye lori lqke. Maisha ndio hayq acheni aishi kitajiri.
 
Tusishangae namba D na gari imechoka inawezekana route anazoenda si nzuri hasa barabara za vumbi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom