Picha ya leo: Wana mtwara mkutanoni na mvua

Picha ya leo: Wana mtwara mkutanoni na mvua

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,932
Hii picha imenifanya nijiulize maswali: je kweli hili ni kwa sababu ya shinikizo la viongozi wa upinzani wanaotaka umaarufu au ni kitu gani kinawafanya hawa kusimama kwenye mvua kubwa hivi!

Mtwara rain.jpg
 
Nguvu ya umma!
Wananchi wa Mtwara tumewaona, tumewasikia!
Watabeza lakini ukweli siku zote utadhihirika.

Mungu Ibariki Tanzania!
 
Back
Top Bottom