ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,115
Hakuna watu ambao wanatamani kuona damu inamwagika kama wanasiasa.Poleni sana. Inaonekana mlitamani sana umwagaji as dhamu za watanzania? Mambo mengi hayaondoki pasipo kuomba na kufungua. Watu wa Mungu wameomba sana Juu ya jambo hili
Vigezo na masharti havikuzingatiwa hapo ktk ujengaji.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Vigezo na masharti havikuzingatiwa hapo ktk ujengaji.
Sasa itabidi waujenge upya.
Wazingatie sana ratio ya cement na mchanga.
Nikuweke sawa kidogo. Wanasiasa wanachotamani ni kushibisha matumbo yao so hapo ndio hutaka lolote litokee ikiwemo umwagaji wa damu ili shibe iende kwao.Hakina watu ambao wanatamani kuona damu inamwagika kama wanasiasa.
Sisi wananchi tunapelekwa tu bila kujua.
Tutaujenga tena kwa ZEGEAnother Episode
Labda zege la chips mayai aka viepe!Tutaujenga tena kwa ZEGE
Labda watumie nyati cement[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tutaujenga tena kwa ZEGE
Sasa watajenga wapi[emoji23]Kudadadeki,ujenge ukuta kwenye msingi nilioujenga mimi?dharau hizo
Nasikia wameagiza cement ya nyatiVigezo na masharti havikuzingatiwa hapo ktk ujengaji.
Sasa itabidi waujenge upya.
Wazingatie sana ratio ya cement na mchanga.
Dawa ya deni ni kulipa tu,hakuna namna....Hebu muacheni Mbowe jamani, muda huu anashughulika na NHC wanamdai mabilioni ya shilingi na hali yeye hajisikii kulipa😀