picha ya leo: sema chochote hapa


mie naona huyo jamaaa kiatu hcho kiliisha either
1.pindi anatafuta ajira alitembea sana bila mafanikio
2. hana kausfiri ka kutembelea
3.anakata sana mitaaa (street vendor)
 
ha ha ha.....mi nimeona nicheke tu.......na nitoe usia kwa wanawake wenzangu.....
jamani wamama.......muonekano wa mumeo ni wako.......tujitahidi kuwafuatilia waume zetu katika maswala mbalimbali......ili kuepuka aibu.......
ni hayo tu......
 
mwalimu wa shule ya kata
hlo pozi atakuwa anasahihisha mitihani
 
Mh! Hizo ni swaga za mwalimu wa kata flani....hapo anasahisha madaftari ya hawa wadogo zetu masharobaro ha ha ha haaa!
 
mie nimecheka mnoo looh
huyo baba atakuwa na matege au migulu baja he he heee
pamoja na kiatu kuisha upande kimepigwa kiwi kisafii kama kipya
 


Babu Aspirin nilikuomba usivae hivi viatu kwani mshahara huu ntakununulia vingine kwani nilijua kwenye michakato ya katiba watu huja na mengi!!!!!!

Christine Ibrahim,Kibibi Jongo,Heaven on earth na mimi49 nanyi nimewaambia mkae bure hapo nyumbani kwa babu ili mumfuatilie na nyie mmekuwa watu wa mapooooouuuuuder tu babu hamna habari naye,na huyo mzee kwa kutoroka mnamjua vema akiwa na lake!!!!!!!!!!

Aaaaaaaargh mnaboa sana ila msimwambie kama nimemaind
 

Picha hii ina hudhunisha sana...Huu ni ushahidi wa Tanzania kuwa moya ya kati ya nchi masikini kabisa duniani.. Ingawa watu wake wanajipenda lakini hata uwezo wa kununua viatu hawana..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…