mie naona huyo jamaaa kiatu hcho kiliisha either
1.pindi anatafuta ajira alitembea sana bila mafanikio
2. hana kausfiri ka kutembelea
3.anakata sana mitaaa (street vendor)
ha ha ha.....mi nimeona nicheke tu.......na nitoe usia kwa wanawake wenzangu.....
jamani wamama.......muonekano wa mumeo ni wako.......tujitahidi kuwafuatilia waume zetu katika maswala mbalimbali......ili kuepuka aibu.......
ni hayo tu......
Babu Aspirin nilikuomba usivae hivi viatu kwani mshahara huu ntakununulia vingine kwani nilijua kwenye michakato ya katiba watu huja na mengi!!!!!!
Christine Ibrahim,Kibibi Jongo,Heaven on earth na mimi49 nanyi nimewaambia mkae bure hapo nyumbani kwa babu ili mumfuatilie na nyie mmekuwa watu wa mapooooouuuuuder tu babu hamna habari naye,na huyo mzee kwa kutoroka mnamjua vema akiwa na lake!!!!!!!!!!
Aaaaaaaargh mnaboa sana ila msimwambie kama nimemaind
Picha hii ina hudhunisha sana...Huu ni ushahidi wa Tanzania kuwa moya ya kati ya nchi masikini kabisa duniani.. Ingawa watu wake wanajipenda lakini hata uwezo wa kununua viatu hawana..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.