Picha ya leo, rais Magufuli na bastola

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
16,402
18,348
eff31dd95c35151addf5252ea2669dd1.jpg
 
Ina maana Rais anajilinda mwenyewe, sasa hao wanaomzunguka mbele, nyumba na pembeni pande zote wanafanya nini
 
Duuuuh, kumbe jamaa nae anako kamguu ka kuku!!!!? Sasa huwa anakatumia wapi?
 
Picha nzuri ila inaogopesha.Sijawahi kuona Rais mwingine zaidi ya Sadam Hussein akiweka silaha ya moto kiunoni.
 
Ina maana Rais anajilinda mwenyewe, sasa hao wanaomzunguka mbele, nyumba na pembeni pande zote wanafanya nini
Hata mimi nimeshangaa kwelikweli kusikia eti rais anamiliki bunduki na bastola. Vya nini vyote hivyo?
Kama alivimiliki kipindi akiwa waziri, je, kuchaguliwa kwake kuwa rais kunamruhusu kuendelea kumiliki silaha za moto?
 
Ndio kunamruhusu, bado ni raia wa tanzania, kwa nino asiruhusiwe?
 
nani mshauri wa raisi kwenye maswala ya usalama??

usalama wa rais uko wapi kama dunia imeshajua aina ya silaha anayotumia raisi na mahala napohifadhi rais huyo??
Unaweza kuthibitisha kuwa anatembeaga nayo?
By the way, kama maadui wake wamefikiri kuwa anatembeaga na pistol na anaiwekaga hapo basi ni good move, psychologically, kawashinda! Hata akiwa hana watu watamgwaya!
 
unaweza kudhibitisha kuwa hatembei nayo??
 
Ina maana Rais anajilinda mwenyewe, sasa hao wanaomzunguka mbele, nyumba na pembeni pande zote wanafanya nini
Mkuu Rais kuwa na Silaha maana yake anajilinda mwenyewe? Tafakuri kidogo tu! Geti la Ikulu linalindwa, Analindwa mpaka mlango wa kuingia ofisini kwake? Sasa anajilindaje mwenyewe na kabastola alikokaweka kiuoni? Fikiria hivi, atakapokuwa ofisini kutakuwa na walinzi nje! akiwa chumbani vile vile kutakuwa na walinzi nje, unaposema anajilinda mwenyewe maana yake nini? Wanaomzunguka ndio wanamlinda kuwa na silaha sio maana yake anajilinda mwenyewe, please acheni utoto kuweni basi.
 
Back
Top Bottom