Picha ya leo - Je, waweza kusoma macho ya mtu kupata future yake?

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,898
538554_124992364307271_1693132616_n.jpg


Je, alijua ndiye atakaye rithi kiti chake cha kitume?
 
Hapa Marehemu Papa alikuwa anamuambia Papa benedict wewe ndie utachukuwa cheo changu mimi nikiondoka hapa duniani sawa umenielewa kabisa Candid Scope

Picha hii ni kaika moja ya matuko ambayo Pope John Paul alipokuwa anawatawaza Makardinari wapya mmoja wapo akiwa ndiye huyu mteule wake aliapa na kisha baadaye kuridhi kiti kile. Hapo alikuwa anatawazwa tu kuwa kardinari kama alivyotawazwa Pengo huko Vatican. Kwa vyo vyote nadharia ni hiyo na mengine yanabaki ndani ya siri nyingi ambazo zimefichika machoni petu.
 
mmmh kumbe kinaitwa kitu cha kitume?

Yes, kama kilivyo kiti cha urais pale magogoni, pale Vatican City kuna kiti cha kitume kinachorithishwa toka Pape wa kwanza Mtume Petro na kufikia huyu wa sasa Benedict.
 
adobeeeeee

Ingefaa kuachana na dhamira ya kila kionekanacho kukiakisi na taswera za kutngenezwa. Kwa mwenye ujuzi na uzoefu wa kusoma taswira hawezi kutoa hitimisho kabdla ya kufanyia utafiti wa kutosha kujenga mazingira ya kuridhia kutoa hitimisho.
 
Kanisa mali ya wazungu, inawezekana mweusi atawale kweli!!!

Lipi lisiwezekane? Kwa wazungu wanaojiona wanaongoza dunia makabaila wa Marekani imewezekana Mweusi kuongoza sasa iweje ishindikane kwa hilo? Kuongoza kanisani ni uteuzi wa Mungu ambao umezoeleka kama kazi ya ufunulio wa Roho Mtakatifu.

Hujashangaa mtu mmoja toka huko pembezoni Kigoma kateuliwa na kiti cha Kitume kwenda kushika wizara nyeti ya Vatican ya Propaganda? Idera ya uenezi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom