Candid Scope JF-Expert Member Nov 8, 2010 11,890 6,902 Aug 10, 2012 #1 Wenye uwezo wa kugundua sura za hawa mastaa atujuze ni akina nani zawadi ni mwisho wa mwaka.
King Kong III JF-Expert Member Oct 15, 2010 51,873 69,115 Aug 10, 2012 #5 Candid Scope said: Wenye uwezo wa kugundua sura za hawa mastaa atujuze ni akina nani zawadi ni mwisho wa mwaka. Click to expand... Biyonse nolesi na shoni kata wakati wanakaa kisalawe kabla hawajahamia kwa obama hyo ilikua miaka ya 60!
Candid Scope said: Wenye uwezo wa kugundua sura za hawa mastaa atujuze ni akina nani zawadi ni mwisho wa mwaka. Click to expand... Biyonse nolesi na shoni kata wakati wanakaa kisalawe kabla hawajahamia kwa obama hyo ilikua miaka ya 60!
Candid Scope JF-Expert Member Nov 8, 2010 11,890 6,902 Aug 10, 2012 Thread starter #6 Ngoja mie nijaribu kusafisha macho yangu kwa maji maangavu, kazi kwelikweli hapa, wenye macho fresh naona wako mbioni kunyakua zawadi ya mwaka,
Ngoja mie nijaribu kusafisha macho yangu kwa maji maangavu, kazi kwelikweli hapa, wenye macho fresh naona wako mbioni kunyakua zawadi ya mwaka,
SIM JF-Expert Member Oct 25, 2011 1,795 1,300 Aug 10, 2012 #8 biyons na jayizii wakitoka shamba kuvuna mpunga huko magugu
MATESLAA JF-Expert Member Aug 11, 2011 1,246 74 Aug 10, 2012 #9 Aiseeeee baba yangu mi naona kama ni namelass na wahu au kama nimekosea ni jei keyi na mama ridhi 1 wakati wapo bagamoyo miaka ya 1945
Aiseeeee baba yangu mi naona kama ni namelass na wahu au kama nimekosea ni jei keyi na mama ridhi 1 wakati wapo bagamoyo miaka ya 1945