charty JF-Expert Member Joined Oct 28, 2013 Posts 7,460 Reaction score 6,001 Jul 29, 2015 #41 Bill said: Ninyi wa wadada nifah na charty nimewakubali, naona mmekomaa zis taim magamba wataimba haleluya kuu. Au mna hasira za kupigwa chini na Magamba kwenye Vitu Maalum??? Click to expand... bill sina hasira yoyote ndugu yangu ila waliniumiza sana kunikatia mgombea wangu kwa chuki binafsii sasa nasema hivi mwambie nape aje achukue kadi yake no.AG. 638619_! naenda zangu CDM njia nyeupeee!!teh
Bill said: Ninyi wa wadada nifah na charty nimewakubali, naona mmekomaa zis taim magamba wataimba haleluya kuu. Au mna hasira za kupigwa chini na Magamba kwenye Vitu Maalum??? Click to expand... bill sina hasira yoyote ndugu yangu ila waliniumiza sana kunikatia mgombea wangu kwa chuki binafsii sasa nasema hivi mwambie nape aje achukue kadi yake no.AG. 638619_! naenda zangu CDM njia nyeupeee!!teh
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Jul 29, 2015 #42 Bill said: Ninyi wa wadada nifah na charty nimewakubali, naona mmekomaa zis taim magamba wataimba haleluya kuu. Au mna hasira za kupigwa chini na Magamba kwenye Vitu Maalum??? Click to expand... Kwani vipi mkuu?
Bill said: Ninyi wa wadada nifah na charty nimewakubali, naona mmekomaa zis taim magamba wataimba haleluya kuu. Au mna hasira za kupigwa chini na Magamba kwenye Vitu Maalum??? Click to expand... Kwani vipi mkuu?
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Jul 29, 2015 #43 Bavaria said: Yupo kaburini huyo. Click to expand... Absolutely right. ... Nilitaka kumuambia hivyo hivyo.
Bavaria said: Yupo kaburini huyo. Click to expand... Absolutely right. ... Nilitaka kumuambia hivyo hivyo.
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,254 Jul 29, 2015 #44 Bavaria said: View attachment 271789 Click to expand... ............ tutamaliza na Mungu!
DOGofGOD JF-Expert Member Joined Feb 15, 2015 Posts 1,341 Reaction score 480 Jul 29, 2015 #45 Mr Hero said: Itakuwa photo shop tu, angalia lowassa kadi alivyoshika, mbowe njoo ututhibitishie picha hii Click to expand... Mimi Kitendo Chake Cha Kuinua Kadi Ya Chama Kwa Mkono Wa Kushoto Ndo Kunanipa Mashaka.Nahisi Kuna Dalili Za Kuuziwa Mbuzi Kwenye Kiroba
Mr Hero said: Itakuwa photo shop tu, angalia lowassa kadi alivyoshika, mbowe njoo ututhibitishie picha hii Click to expand... Mimi Kitendo Chake Cha Kuinua Kadi Ya Chama Kwa Mkono Wa Kushoto Ndo Kunanipa Mashaka.Nahisi Kuna Dalili Za Kuuziwa Mbuzi Kwenye Kiroba
concrete15 JF-Expert Member Joined Oct 16, 2012 Posts 882 Reaction score 323 Jul 29, 2015 #46 uchaguzi ufike tu maana nahamu sana na hawa maccm
Bill JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 10,703 Reaction score 11,809 Jul 29, 2015 #47 DOGofGOD said: Mimi Kitendo Chake Cha Kuinua Kadi Ya Chama Kwa Mkono Wa Kushoto Ndo Kunanipa Mashaka.Nahisi Kuna Dalili Za Kuuziwa Mbuzi Kwenye Kiroba Click to expand... Kuna sheria/kanuni ya kushika na kuinua kadi siku hizi. Kweli mmefiliska
DOGofGOD said: Mimi Kitendo Chake Cha Kuinua Kadi Ya Chama Kwa Mkono Wa Kushoto Ndo Kunanipa Mashaka.Nahisi Kuna Dalili Za Kuuziwa Mbuzi Kwenye Kiroba Click to expand... Kuna sheria/kanuni ya kushika na kuinua kadi siku hizi. Kweli mmefiliska