Picha ya leo ipe maneno bas

Picha ya leo ipe maneno bas

Mzazi aliyemwandaa vyema mwanaye kielimu na kiafya anajiwekea mtaji mzuri wa kupata matunzo mema uzeeni!
Kinyume chake ni kwamba malezi mabaya kwa mwanao ni maandalizi mema ya strees na stroke uzeeni

Kuwa makini sana usichanganye "wajibu" na "haki" usimuandike deni mwanao kwa kuwa umetimiza wajibu wako kumlea. Ondoa dhana ya uwekezaji kwenye malezi.
WENYE MASIKIO WAMENISIKIA NA WENYE AKILI WAMENIELEWA.
 
Mkuu haya yalikuwa mawazo huru tu,kila mmoja alikuwa na wigo wa kufikiri kwa namna yake....
 
Kuwa makini sana usichanganye "wajibu" na "haki" usimuandike deni mwanao kwa kuwa umetimiza wajibu wako kumlea. Ondoa dhana ya uwekezaji kwenye malezi.
WENYE MASIKIO WAMENISIKIA NA WENYE AKILI WAMENIELEWA.
Tumekuelewa umekusudia nini lakini hatuwezi kukubaliana nawe. Sasa matunzo ya huyu mama aliyekwisha kuzeeka yanawajibishwa kwa nani. Tu binaadamu na wala si wanyama ambao mtoto tu hutunzwa lakini sisi binaadamu tunahitaji kuowajibika kwa mwenye kuweza amsaidie asieweza. Mzee humsaidia mwanawe kwa asiyo na uwezo nayo na mzee atasaidiwa na mwanawe pale anapofikia umri wa kutaka msaada. Wote wawili wakiwa kwenye umri wa kujitegemea hakuna haja ya kusaidiana bali kuwepo kwa uhusiano wa mtoto na mwana.
 
Usijijumuishe pamoja na wenye akili, wewe una masikio na hakika umesikia, wewe sikia wenzako wanaelewa ni kwamba mzazi kumlea mtoto ni wajibu, na mtoto kumtunza mzazi ni hisani.

Hii ni kanuni ambayo wenye akili hawapingani nayo, bali wenye masikio hupingana nayo.
 
Ulishawahi kusikia kichaa akakubali kuwa ni kichaa. Ni tabia ya kichaa kuwaona wenye akili kuwa ni vichaa. Na wewe una tabia hiyo hivyo ni kazi kwako. Una tabia moja kubwa ya mtu asie na akili, kutowa matusi kwa wenzako ni ukichaa na utafiti unaonyesha kuwa ukichaa hurithiwa basi baba pole kwa urithi huo kutoka kwa wazee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom