Picha ya Kufungia Wiki

Picha ya Kufungia Wiki

Hawa jamaa wangefanikiwa tu kuingia ikulu lazima mmoja angebaki kwa kafara ili ccm ishinde 2015. Bora waligombana wao kwa wao.
 
Hii picha si ya kufunga wiki itakuwa ya kufunga mwaka, maana mi nilivyo bahiri wa kucheka hapa nimecheka hadi nikaanza na kubanja. <wapinga mauaji wanataka kufanyiana mauaji>
 
Hii picha si ya kufunga wiki itakuwa ya kufunga mwaka, maana mi nilivyo bahiri wa kucheka hapa nimecheka hadi nikaanza na kubanja. <wapinga mauaji="" wanataka="" kufanyiana="">
usiangushe meno tu</wapinga>
 
Back
Top Bottom