Picha ya Kufungia Wiki

Picha ya Kufungia Wiki

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
1689634_10206202577004067_2448429551646058448_n.jpg
Bwana Mwenyekiti wa Chama cha Wenye ulemavu wa Ngozi (TAS), Ernest Kimaya, akionesha MAMLAKA kwa Nuru Chagutu, katika sakata la kusikitisha la kugombea kuingia Ikulu kuonana na Rais Kikwete, kubunga bongo namna ya kukomesha la mauaji ya albino nchini.
 
Kuna mtu anauliza hapa bwana mkubwa muda anaotumia kukutana na victim wa tukio ni kwanini asingekaa na wakuu wa vyombo vya usalama kujua suluhisho badala ya kuishia kukutana na hawa ndugu waathirika wa tukio na kupiga nao 'group picture?'
 
swali zuri sana
 
huyu dada awahi polisi haraka khaaaaa
 
Jk angeipata fresh, mshono ungefumuka arejeshwe usa, chezea albinism weye, bahati yake wamemchokoza jamaa kabla ya timing sahihi

Na hao watekaji sasa wajipange, si mmeona wenyewe.
 
Hahahaaaaa Dah we jamaa wewe
 
View attachment 232502
Bwana Mwenyekiti wa Chama cha Wenye ulemavu wa Ngozi (TAS), Ernest Kimaya, akionesha MAMLAKA kwa Nuru Chagutu, katika sakata la kusikitisha la kugombea kuingia Ikulu kuonana na Rais Kikwete, kubunga bongo namna ya kukomesha la mauaji ya albino nchini.

Sasa Kama Kumbe Huwa Wako Fiti Hivyo Na Wanamazoezi Ya Kila Aina Inakuwaje Huwa Wanafanywa Butcher Kila Kukicha? au Mkwara?
 
Kuna mtu anauliza hapa bwana mkubwa muda anaotumia kukutana na victim wa tukio ni kwanini asingekaa na wakuu wa vyombo vya usalama kujua suluhisho badala ya kuishia kukutana na hawa ndugu waathirika wa tukio na kupiga nao 'group picture?'

Tulibugi Sana 2005 - 2015 Ngoja Tuangalie Kama Tutabugi Tena 2015 - 2025.
 
Back
Top Bottom