Picha ya jk yachakachuliwa na wana ccm

Mfamaji

JF-Expert Member
Nov 6, 2007
6,631
1,926
Kikwete.JPG Wakuu nimeiona hili bango la Mgombea wa CCM bwan Jk ikiwa imechakachuliwa .Inasemekana vijana wa CCM waliokuwa wanabandika ndio wameichakachua . Msg sent.
 
Wakuu turudishieni ile ya mweleka wa jangwani, ile ya kukwidwa na mganga wa kienyeji- Mwanza tuzidi kuona hizo sinema. ndo maana TZ tumechoka, tunaongozwa na majini yanayofanya vituko hadharani!
 
Back
Top Bottom