Picha ya JK mitaani:Wazee wa protokali mpoo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha ya JK mitaani:Wazee wa protokali mpoo?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Majoja, Oct 31, 2011.

 1. Majoja

  Majoja JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 610
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Miaka ya nyuma ilikuwa picha za viongozi kwne fremu ukutani ukiingia ofisi za wafanya biashara aina fulani.
  Lae nimeona kali, ya JK kuwekwa ukutani,tena ukuta wa nje.
  Hicho ni kitaa cha Mbozi rodi,Chang'ombe

  Wazee waJF protokali mwasemaje juu ya hili. CIMG0040.JPG
   
 2. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ulimwengu umebadilika. Picha kama hiyo ni ya kawaida kuwekwa hapo. Picha za Obama pia huwekwa kwenye mabango barabarani.
   
 3. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ikiwekwa ndani itaionekaje???? Inabidi hapo hapo nje watu waone kama na mie (mfanyabiashara) nilishawahi kukaa na rais kiti kimoja.
   
 4. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,848
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  Huyo anayedunda hapo ndio wewe ama?
   
 5. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 21,564
  Likes Received: 15,938
  Trophy Points: 280
  Jee huyu ndiye yule mwarabu wa Suti?
   
 6. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,073
  Likes Received: 894
  Trophy Points: 280
  hapo usikute anamuuliza hivi size ya kiuno chako ngapi maana nakuonaga unapandisha pandisha suruwali au zinakulegea mdogo wangu ..nataka nkuletee suti 5 zinazokufiti ..ushanifahamu jakaya
   
 7. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,493
  Likes Received: 1,833
  Trophy Points: 280
  Mtu wa TRA akiona tu hiyo picha na mwenye duka, basi hapaingiliki.
   
 8. ikizu

  ikizu JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ]Ulimwengu umebadilika. Picha kama hiyo ni ya kawaida kuwekwa hapo. Picha za Obama pia huwekwa kwenye mabango barabarani. na sasa tutaanza kuweka ya Gadafii nafikiri itakuwa poa zaidi maana Watanzania tulimpenda sana
   
Loading...