Picha ya Gazeti la Dira...

Najivunia sana ngozi yangu ngumu...kwa kua utafiti niliofanya usio rasmi nimebaini ngozi light (kwa maana ya wazungu) ni wepesi sana kugeuka pale hila zao zinapobainika...nadhani sistahili kuonesha mifano so far ni wengi tu wamewajibika kwa makosa waliyofanya/kufanyika wakiwa wakuu wa ofisi fulani...Haiingii akilini watendaji wakuu wa taasisi km Tanesco kufurahia viyoyozi vya umeme usiotabirika ilihali kuna kashfa nyingi kwenye taasisi zao...ni kichekesho pia Mr Hosea kuendelea kukalia bench la TAKUKURU na kashfa zote zinazoielemea ofisi yake...ya Arusha yangetangaza wema wa Afande Mwema km angevua magwanda na kukaa aside! Unapotokea mkanganyiko mkubwa namna hii na bado sura zinaendelea kubaki zile zile,kwanini tulio na mawazo mbadala tusiwe na mawazo kwamba bwana mkubwa ana mkono wake ktk mambo haya? Mkuu MM,niombe radhi nilistahili kuangalia picha tu ila nimeenda beyond scope ya picha...
 
Mkuu safi sana lakini hii ingekuwa front page alafu magazeti yote mpaka ya udaku.
 
Hivi huyu Bwana jeuri ya kutesa watanzania anaipata wapi????
 
Hivi huyu Bwana jeuri ya kutesa watanzania anaipata wapi????

Anaipata kutoka kwetu mkuu... Kwetu! Mimi na wewe, na wenzetu wengine, kutoka kwetu!!!!!
Tulimpa JK kura zetu..
JK anawalinda marafiki zake, Rostam ni rafiki kipenzi wa JK...
Nguvu ya JK kuwalinda marafiki zake inatoka kwetu kwa sababu tulimpa kura zetu..
Yote yanafanyika, tunapiga kelele, likiibuka suala lingine tunasahau la mwanzo.. Typically sisi!
Hivyo Rostam anapata Jeuri ya kunyanyasa watanzania kutoka kwa watanzania wenyewe..
 
linamilikiwa na msama. mjanja fulani hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…