Picha ya Baba wa Taifa...

Yuko mstari wa pili,picha ya kwanza kulia!
 
hata sijaangalia hiyo picha kwani sipendi kuwa disappointed.

and you you know what will disappoint me? you got it.....finding mwalimu's picture pasted onto this power-mongering alligator (i pray he RIH)!
 
Mstari wa kwanza kabisa juu picha ya tatu kutoka kushoto na ya pili kutoka kulia ni nyerere
 
Jamani hamumuoni Mchonga hapo pembeni kwa Mandela, Mstari wa katikati kulia kabisa.......
 
yupo pemben ya kulia kwa mandela,
anaebsha azoom kwa mvg ataiona vzur bila chenga.
m nmethbtsha baada ya kuzoom
 
Nyerere wa pili kulia msitari wa juu amevaa Lubega..picha yake ya ujanani, kama hamuifahamu iyo picha naiweka muda c mrefu

Picha unayoongelea ya lubega ni Kwame Nkuruma. Nyerere yupo kushoto kwa Nelson Mandela. Aliyepost hii thread ana lake jambo kwani siamini kama ni kweli hamwoni Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere.

huyo ni Nkwame Nkurumah sio Nyerere mkuu

NdasheneMbandu & asigwa

Tatizo la huyu Dumelang anakremu Picha!!!

Picha hata akiiona miaka 10 iliyopita .. ukiiona nyingine tena anafikiri bado ni ile ile?!

Akiona mtu "amevaa Lubega" ... basi kila mtu yeyote aliyevaa Lubega ni Nyerere?!



 
walikuwa hawaivi na Nyerere , so usiitafute picha ya Nyerere sababu hutaiona,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…