Picha ya Baba wa Taifa...

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Nimeitafuta hapo sijaiona, kulikoni??

 
Kwani ni lazima picha yake iwepo?
 
Ghaddafir na Nyerere walikuwa hawaelewani.
 
pembeni ya mandela ni ticha acha ubishi.

Nyerere yuko mgongoni

Ghaddafir na Nyerere walikuwa hawaelewani.

Wewe vipi?? Hapo kuna picha ya Nduli, Mugabe....kwa nn yake isiweko?

Kwani ni lazima picha yake iwepo?

His the one...acha ligi

Huyo pembeni ya Mandela ni Kaunda sio Nyerere....

Nyerere yaani avimbe mashavu kama bunju??

Nimeitafuta hapo sijaiona, kulikoni??

View attachment 70274

Nyerere wa pili kulia msitari wa juu amevaa Lubega..picha yake ya ujanani, kama hamuifahamu iyo picha naiweka muda c mrefu
 
Nadhani hoja ya msingi ya kujadili hapa :Nini kiliyomfanya Gadaffi kuvaa na kuonyesha picha hizo kifuani? je alikuwa statesman?
 
Nyerere wa pili kulia msitari wa juu amevaa Lubega..picha yake ya ujanani, kama hamuifahamu iyo picha naiweka muda c mrefu
Picha unayoongelea ya lubega ni Kwame Nkuruma. Nyerere yupo kushoto kwa Nelson Mandela. Aliyepost hii thread ana lake jambo kwani siamini kama ni kweli hamwoni Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…