Mkubali mkatae ila Magufuli ni chaguo sahihi la watanzania. Hata yule ambaye hakumpa kura anatamani uchaguzi ufike ampe kura[emoji38][emoji6]
Huwezi kutenganisha siasa na maisha HUWEZIkwani siasa ni sehemu ya maisha ya mwanadamu? kwanini tusiwe na mambo mengine siasa tukaachana nazo?
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Mshana Jr umeandka kitu cha maana sana,na umetumia fasihi ya Hali ya juu sana.Tunaokuelewa ktk bandiko hili ni sisi tuliosoma literature, kweli umeona mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkubali mkatae ila Magufuli ni chaguo sahihi la watanzania. Hata yule ambaye hakumpa kura anatamani uchaguzi ufike ampe kura[emoji38][emoji6]
The battle is rude yet fierce with a thousand hindrances2020 Lissu for president
Under a dictatorship, a nation ceases to exist. All that remains is a fiefdom, a planet of slaves regimented by aliens from outer space.
Wole Soyinka
Masikini watanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uvundo[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji781] [emoji779] [emoji781] [emoji779] [emoji781] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Dah... Watu wametupa mzoga wewe unaokota.... What do you expect? [emoji87] [emoji41]
Sent from my chips yai using JamiiForums Mobile App
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Uvundo[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji781] [emoji779] [emoji781] [emoji779] [emoji781] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu watanzania ni wasahaulifu sana walimtaka wa aina hii tena kwa vinywa vyao sasa wanajikana wenyeweMimi sikuwahi kufikiri kuwa hili lijamaa litakuja kuwa lidikteta, aisee yaani nimelichukia kama nduli IDD amin
SISI watanzania....... ndio tatizo LENU.... Machuchu unaongelea nafsi ngapi!?Tatizo wepesi sana kusahau sisi waswahili ndio tatizo lenu
Acha kihere here nani katajwa jina hapo mbona unataka uchafue picha!!!Mkubali mkatae ila Magufuli ni chaguo sahihi la watanzania. Hata yule ambaye hakumpa kura anatamani uchaguzi ufike ampe kura[emoji38][emoji6]
.....Wewe unasoma herufi za kirumi?
This joke has made my day.[emoji116][emoji116][emoji116]