Picha: Wenje atikisa jiji la mwanza.

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797

[h=3][/h]

[h=2]

[/h]

Kunja ngumu... Peoples Power.....

Mtoto wa mama ntilie amevaa ndala katika mkutano wa hadhara jana..

Mheshimiwa tunakusikiliza....

Sisi ni Chadema tuuuuuu.

Umati wa watu waliofurika kwenye Mkutano...

Mheshimiwa Wenje akisem na wakazi wa kata ya Igoma katika mkutano wa hadhara uliofanyika Igoma.

Mheshimiwa Hezekia Wenje Mbunge wa Jimbo la Nyamagana amesema kuwa yeye na viongozi wa Chadema wako tayari kuwasaidia wananchi kutoka katika shida walizonazo.

Akizungumza katika mkutano huu uliofanyika katika kata ya Igoma Wenje alisema muda wa wananchi kudanganywa na propaganda ambazo hazina tija umepita na Chadema tumejipanga kulitekeleza hilo.

Amesema hata Dokta Slaa, Mheshimiwa Mbowe au Wenje akileta mambo ya ajabu atawekwa pembeni maana Chadema hii ya Watanzania.

Picha na B Plus Blog

Ukivaa CHACHACHA ndio dalili ya uadilifu :evil:

Kweli haujatembea Tanzania yote... Hivyo ndio Natural/Traditional Shoes kwa MWANZA Maeneo ya MAKOROBOI ambavyo Walala HOI MWANZA

ndio Viatu Vyao Vya KAZI... Ni Matairi ya Magari tuna-re-cycle kuvaa ni VINADUMU HASWA; Unachungia Ng'ombe kupanda MILIMANI na bado

vinadunda dunda Very Comfortable...
 
ukitenda mazuri siku zote utasifiwa mazuri na hata zawadi utapewa ,na ukitenda mabaya utasifiwa ubaya wako na hata zawadi ya ubaya utalipwa
 
Kunja ngumu... Peoples Power.....

Mtoto wa mama ntilie amevaa ndala katika mkutano wa hadhara jana..

Mheshimiwa tunakusikiliza....

Sisi ni Chadema tuuuuuu.

Umati wa watu waliofurika kwenye Mkutano...

Mheshimiwa Wenje akisem na wakazi wa kata ya Igoma katika mkutano wa hadhara uliofanyika Igoma.

Mheshimiwa Hezekia Wenje Mbunge wa Jimbo la Nyamagana amesema kuwa yeye na viongozi wa Chadema wako tayari kuwasaidia wananchi kutoka katika shida walizonazo.

Akizungumza katika mkutano huu uliofanyika katika kata ya Igoma Wenje alisema muda wa wananchi kudanganywa na propaganda ambazo hazina tija umepita na Chadema tumejipanga kulitekeleza hilo.

Amesema hata Dokta Slaa, Mheshimiwa Mbowe au Wenje akileta mambo ya ajabu atawekwa pembeni maana Chadema hii ya Watanzania.

Picha na B Plus Blog

wenje unaota nini? chama cha zomea zomea hakipo bila muajiriwa slaa na mkwe wa muasisi wa chama mbowe. jidanganye.
 
hivi hili ni jimbo wanalitegemea ccm kulichukua 2015??
Labda waligawe ili wachukue kipande kinginge ila nch wakibugi tu hawakipati
viva cahadema !!!!!
 
wenje unaota nini? chama cha zomea zomea hakipo bila muajiriwa slaa na mkwe wa muasisi wa chama mbowe. jidanganye.

Mbona Wabunge aw Chadema Wanazomewa Bungeni...?Ngoja na yeye aonje adha ya Kuzomewa tena na kundi la watu ambao alidhani wangemfurahia...!
 
Hiki ndicho kinachowanyima Usingizi CCM......Time will tell!:rockon:
 
Hiki ndicho kinachowanyima Usingizi CCM......Time will tell!:rockon:

Yeah, Kwasababu ingekuwa wa CCM; Ungeona Wananchi na T-Shirt; Khanga; Scafu za KIJANI na NJANO;

na VIPIKIPIKI VINGI vya kupewa Hela za Petroli na kando MALORI MAKUBWA; Sasa hapo ndipo unapowaza

Hayo Mapesa wanayomwaga CCM haijayapata KIHALALI... ndio MAANA wanatumia NGUVU za DOLA.. ?
 
nimependa jukwaa, ....kinachotakiwa ni ujumbe na wala si mapambo na marangi mengi mengi tu
 
Back
Top Bottom