Picha: Watoto wakimlinda Rais Biden

wako field hao madogo, pengine hizo ndio ndoto zao so wamepewa fursa ya kuenjoy kile wanatamani, raha ya mbele ukishachagua unachopenda basi focus inaelekezwa huko mapema.. sio mpaka ukose ajira au upate zero ndo uombe nafas jeshi au polisi
Hakika
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa hadi machoziii,
Kumaanisha nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…