Ocampo four JF Senior Expert Member Joined Feb 28, 2014 Posts 5,789 Reaction score 2,159 Sep 26, 2015 #1 Safari ya mabadiliko ya door to door inaendelea.... Tukutane tarehe 25.10.2015 Attachments 1443279658018.jpg 42.7 KB · Views: 1,171 1443279670694.jpg 38.5 KB · Views: 1,016 1443279682692.jpg 43 KB · Views: 982 1443279696701.jpg 47.8 KB · Views: 953 1443279718552.jpg 48.9 KB · Views: 912 1443279747223.jpg 53.8 KB · Views: 994
H husseinkona Member Joined Dec 22, 2013 Posts 27 Reaction score 5 Sep 26, 2015 #3 mchaka mchaka mpaka ikulu
pepsin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 3,486 Reaction score 6,172 Sep 26, 2015 #4 Mabadiliko ni sasa,hamna namna nyingine.
ezma JF-Expert Member Joined Dec 6, 2014 Posts 1,463 Reaction score 533 Sep 26, 2015 #5 Mabadiliko Lowasa
A asakuta same JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 14,829 Reaction score 5,040 Sep 26, 2015 #6 Nimekupenda staili yao ya kutokuambatana na Lowassa. Yaani nikushambulia kwa team mbalimbali.
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 37,851 Reaction score 71,529 Sep 26, 2015 #7 Ocampo four, ..ungetutupia na video ili nasisi tufaidi ujumbe wa wasanii hao. ..pia unaweza kututajia japo kwa uchache ni wasanii gani wanakampeni kwa niaba ya ukawa? Nb. ..ukifanikiwa kumpeleka msaga sumu maeneo ya kusini ushindi utakuwa mapema asubuhi. Huyu dogo ni mzaliwa wa mtama lindi. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Ocampo four, ..ungetutupia na video ili nasisi tufaidi ujumbe wa wasanii hao. ..pia unaweza kututajia japo kwa uchache ni wasanii gani wanakampeni kwa niaba ya ukawa? Nb. ..ukifanikiwa kumpeleka msaga sumu maeneo ya kusini ushindi utakuwa mapema asubuhi. Huyu dogo ni mzaliwa wa mtama lindi.