ongeleni, kumbe ni wasanii???
RAIS wetu amemuandalia red carpet MSANII DIAMOND na kuhakikisha anakwenda DMV kwenye Sherehe za UFUNGUZI wa Tawi USA
Sasa yeye pia ana wasanii... kwanini hautaki CHADEMA wawe na Wasanii? WIVU ni MBAYA; Questioning everything CHADEMA is DOING
CCM bila WASANII 2010 Mngepata Wananchi kwenye Mikutano?
ongeleni, kumbe ni wasanii???
Unauliza swali kusanifu wasanii au?Kwani hao si watu?John Komba hivi ni msanii?
Kwani uchezaji ngoma si sanaa?kumbe magamba akili zenu kiduchu mno.Bora hata ungesema, wanaarusha 41 wamejiunga chadema kuli kutumia neno wasanii, siku hizi hata wacheza ngoma za kienyeji wamekua wasanii? Naona siku hizi topic zinakuja humuna na title kubwa,ukiingia ndani unakuta ni uharo tu.
na mgombea wenu nasikia atakuwa shibuda?Mpaka 2015 kwa mwendo huu CCM itakuwa na Nape na Kikwete tu
hawa na wale wamasai wanao cheza ngoma ngorongoro kwaajili ya watalii wana tofauti gani. Neno msanii lina hadhi yake bana.Kwani uchezaji ngoma si sanaa?kumbe magamba akili zenu kiduchu mno.
Kama wanachofanya hao wamasai ni sanaa,basi ni wasanii.usibandike tu just for the sake of it ama kishabikishabiki tu.Nina wasiwasi sana na uwezo wako wa kuelewa.hawa na wale wamasai wanao cheza ngoma ngorongoro kwaajili ya watalii wana tofauti gani. Neno msanii lina hadhi yake bana.