Picha: Wasanii 41 wajiunga na chadema arusha

Zamani usanii ulikuwa burudani na sio biashara.Siku hizi usanii ni deal kama deal zingine.Kama CCM imekamata akina Diamond, kwa nini hawa nao wasikamate CHADEMA isiyokuwa na mvuto mkubwa wa wasanii ili wapate tender?

Mimi naona yote poa tu, group nzima kukubaliana lazima watakuwa na common goal nayo ni kupiga kazi katika kampeni za CDM pamoja na kutoa tungo mbali mbali kama ''chadema x2'' ''peoples power''!''Tanzania x2'' ''peoples power''.
 
Wewe vipi avator yangu?
 
Bora hata ungesema, wanaarusha 41 wamejiunga chadema kuli kutumia neno wasanii, siku hizi hata wacheza ngoma za kienyeji wamekua wasanii? Naona siku hizi topic zinakuja humuna na title kubwa,ukiingia ndani unakuta ni uharo tu.

Hili lilikuwa ni kundi maarufu ambalo ccm walikuwa wanalitumia kwenye kampeni zao! Kwahiyo kuhama kwao ni big disapointment kwa ccm!
 
Back
Top Bottom