Picha: Wanawake sasa hizi sifa mmezidi

Yes man.......nawafahamu wakinadada/mama mob wanaendesha magari "yakibishi". Arusha kipande hii kawaida....wadada/mama wakizungu wanavunja gia kama hawana akili nzuri. Wewe unaishi wapi? Dar? Kama ndivyo huko nadhani mazingira/mazoea yanamtaka mwanamke awe legelega kuanzia kimuonekano, ideas hadi mavazi na gari analotumia. Binafsi sipendi mwanamke/jamii inaongozwa na attitude yanamna hii. Mwanamke inatakiwa aonekane strong aendeshe chochote anachopenda...ndio life inaenda ivyo in this 21st century.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…