Picha: wanaume wa Palestina wakisonga ugali.

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,725
29,095
Mzuka wanajamvi.

20231227_220129.jpg

20231227_220408.jpg
 
Sasa hawa wakibongo ambao hata kama chakula kipo eti hawezi pakua mwenyewe yupo radhi alale njaa hivi huwa na utimamu kweli ?
 
Duh! Jamaa hata msosi hujaiva wana bakuli tayari, halafu wameweka uzio kwa sababu watu wanaweza kuondoka na hizo sufuria wamebeba. Njaa mbaya sana.

Aisee njaa isikie tu,

Lakini si ugali, hawatumii ugali hao.
 
Back
Top Bottom