kwa hiyo wa uswahilini tuna shida kidogo...?!
![]()
We unafikiri angekulia uswahili angefanya hivi.
Yule muheshimiwa aliyetuhumiwa kufunga n nyuzi za viatu hadharani alizaliwa uzunguni?![]()
We unafikiri angekulia uswahili angefanya hivi.
Yule muheshimiwa aliyetuhumiwa kufunga n nyuzi za viatu hadharani alizaliwa uzunguni?
Akina mama mgekuwa na upendo msingeweka motto tumboni miezi 9 mwisho wa yote mnamtupa jalalani au chooni. Nimeshuudia baba wametupiwa vichanga ona wanavyoangaika mara polisi, mara hospitalini mara ustawi wa jamii, mama haooo wamepotelea kizani kusaka maisha mengineAaah wapi, huyo atakua dadaake! (mwanaume mwanaume tu hata awe mdogo). Upendo wa dhati wanao wanawake.
Upendo wa mama, nani kama mama, hata mapenzi ya boyfriend na girlfriend hayafiki!
nimeyapenda malezi ya wazazi wa mtoto huyu wa kiume!
![]()
Akina mama mgekuwa na upendo msingeweka motto tumboni miezi 9 mwisho wa yote mnamtupa jalalani au chooni. Nimeshuudia baba wametupiwa vichanga ona wanavyoangaika mara polisi, mara hospitalini mara ustawi wa jamii, mama haooo wamepotelea kizani kusaka maisha mengine
Could beCould be her young Sister.
Uko sahihi mkuu, nimeipenda hii. Walijaaliwa upendo wa hali ya juu sana.Kwanza nitake radhi, mie ni Mwanaume mkuu. Ukitaka kuchukulia mambo kijumlajumla kwana uzi unavyoenda kwamba wanaume tuna upendo wa asili mbona haujaongelea jinsi wanaume tunavyowatelekeza na kuwanyanyasa wanawake hadi wengine kufikia kufanya hayo uliyoyataja?
Mara ngapi wanawake wanatukamata na michepuko bado wanatusamehe licha ya kuumia kimoyomoyo taratibu?
Unaongeleaje wanaume wanaowakataa na kuwatesa wanawake wakishawapa ujauzito?
Upendo wa mama hauna kifani, Mungu amewapa mioyo ya kipekee sana wanawake.